Suche einschränken:
Zur Kasse

2 Ergebnisse.

Gitaa na Hadithi Nyingine

Arege, Timothy
Gitaa na Hadithi Nyingine
Utanzu wa hadithi fupi ni kipera cha fasihi andishi ambacho kinakua kwa kasi sana. Ukuaji huu unashadidia maudhui yanayoakisi maendeleo ya jamii katika nyanja na idara zote za maisha zikiwemo uchumi, siasa, dini, miongoni mwa nyingine. Gitaa na Hadithi Nyingine ni mkusanyo mpevu wa hadithi zinazoangazia masuala tata yanayoibuliwa na matendo ya mwanadamu katika shughuli zake za kila siku.

CHF 37.90

Kijiba cha Moyo

Arege, Timothy
Kijiba cha Moyo
Nyumbani. Ukumbini. Sele na Aisha wameketi. Aisha anasoma gazeti. Sele ameshika tama. Anaonekana mwenye mawazo mengi. Aisha anamtazama. Hali ya Sele inamsikitisha. Baada ya kumtazama kwa muda anamwita.)

CHF 31.50